mkuu ura ile wanagawa tu kutangaza saccos yao usiogope hata gari yako binafsi wanaweza kukupa.Mr, ukiona unapata shida kung'amua ofisi ya gari wewe soma stika utajua.
Unaweza kuta Gari haina cha PT wala. MT
Lakini stika nyuma imeandikwa URA Basi jiongeze kuwa ni Gari ya polisi.
Halafu c Kila wakikatiza Wana mission
Acheni kuwa overrated Hao..
Yupo huru kabsa anakula kukuNadhani bado Yuko gesti ya serikali Kama sija mix identity.
Mlio Kanda maalum hebu tujuzeni
Vinyuzi vya kitiss tiss lazima ujipendekezeAmani yako tu uliyonayo hapa nchini na hasa hasa katika Jiji letu hili la Dar es Salaam ( Changanyikeni Brain ) inatokana na uwepo wao hivyo 24/7.
Joto ya jiwe kusajua.Yupo huru kabsa anakula kuku
sasa nikutemberee tangu rini ukawa viatu?Wakinipeleka jela si utakuja kunitembelea?
Mwanangu kula ugali wako kalale subiri keshoView attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Ni kukosa ubunifu maana hata hizo gari zenyewe zinajulikana!Hilo jibu hali kidhi.
Tume ni sehemu ya Serikali, kwa nini hawatumii namba zilizosajiliwa kishera ambazo zinaanzia STL..., STK...
UT jeNi kweli kabisa.
Za polisi zinajulikana maana ni PT....,
Za Uhamiaji nazo UH...
Hizi sasa utata mtupu.
Uhamiaji TanzaniaMAGARI YENYE PLATE NUMBER UT NI ZA AKINA NANI KUNA MMOJA KAGONGA MTU