Nimeshangazwa Tanzania kuwa na miss asiyekijua kiswahili kwa ufasaha!anakiri kwamba kiswahili chake sio kizuri eti ata2mia muda atakaokuwepo kujifunza na kukieneza!.NB:hivi inawezekana vp taifa kuwakilishwa na mwananchi asiye na chembe ya taswira(national identity) ya taifa husika?!.Ndo maana shindano la miss tz lmekua likipoteza mvuto kila uchwao.Kweli tz ni zaidi ya uijuavyo!