TP Mazembe lazima arudi, hajamaliza mkataba wake, tena mmiliki hajamruhusu kuondokaKuna story kuwa Mbwana anarudi TP Mazembe
Mchezaji kuuzwa sio lazima umalize mkataba.Katumbi hataki Samata aondoke na kuna wabongo wanashirikiana nae ili Samata asiondoke.Samata ilitakiwa lazima aondoke hii January sababu ingemsaidia ku-adapt mazingira ya Ulaya ili msimu ujao auanze vizuriTP Mazembe lazima arudi, hajamaliza mkataba wake, tena mmiliki hajamruhusu kuondoka
Nasikia meneja wake mpya ni wema sepetuHivi huyu Samatta hana manager?
Wachezaji wengi sana Katumbi aliwabania kwenda ulaya,tuombe amuachie Samata aendeSamatta yuko Congo tayari. Anamalizia mkataba wake in case Katumbi akigoma kumuachia kwenya Genk. Miezi mitatu sio mingi. from there ataenda Genk bure tena atapiga hela nyingi cz mzigo mzima atachukua samatta mwenyewe. Atulie tu. Ila kuna tetesi nimesikia Katumbi anadai mkataba unaisha dec mwaka huu sio april naskia anataka kushirikiana na TFF kutaka hilo lifanikiwe.
na jksasa hivi eti Nape Nnauye ndiyo best friend wake.
Lugha ya mkoloni haipandi nini?Mchezaji kuuzwa sio lazima umalize mkataba.Katumbi hataki Samata aondoke na kuna wabongo wanashirikiana nae ili Samata asiondoke.Samata ilitakiwa lazima aondoke hii January sababu ingemsaidia ku-adapt mazingira ya Ulaya ili msimu ujao auanze vizuri