Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Mtandao wa kubook tiketi za treni ni mzito sana, baada ya kufunguka unakutana na ujumbe huo.
Wewe umegundua nini hapo😁😁?
Watu wanataka kufunga hesabu zao mwisho wa mwaka wasepe. Ndio maana nasema sasa hivi ukipata fursa piga tu hakuna mzalendo tena. Kila mtu anaangalia tumbo lake.
Tanzania Railways Corp Kadogosa anajua kweli kama kwa sasa huwezi kubooking online?