Hao ndio walioiweka nchi mfukoniHii ni makusudi mkuu mtu kaamua tu nauli zilipiwe manual ili ajipigie chake asepe
Nikajua tiketi ya Emirates Airlines, DAR-SYDNEY, 4700 USD return -Business Class kumbe huo upupuView attachment 2044889
Mtandao wa kubook tiketi za treni ni mzito sana, baada ya kufunguka unakutana na ujumbe huo.
Wewe umegundua nini hapo๐๐?
Watu wanataka kufunga hesabu zao mwisho wa mwaka wasepe. Ndio maana nasema sasa hivi ukipata fursa piga tu hakuna mzalendo tena. Kila mtu anaangalia tumbo lake.
Tanzania Railways Corp Kadogosa anajua kweli kama kwa sasa huwezi kubooking online?
Mkuu mbona iyo ni kidogo sana ama ni Dar- Jakarta? Mimi LAZIMA nisafiri Australia mara 2 KWA mwezi business trip na safari zote business class nalipa 15k go return.Nikajua tiketi ya Emirates Airlines, DAR-SYDNEY, 4700 USD return -Business Class kumbe huo upupu