Wajasilia mali tukutane hapa jamani

Wajasilia mali tukutane hapa jamani

edwin4

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
287
Reaction score
216
1.Kwa wadau waliopo kyela sasa hivi naomba kujua bei ya SUKARI YA MALAWI kwa kg(iliyo vuka daraja)
2.Kwa wadau walioko SINGIDA na MAKAMBAKO sasa hivi, naomba kujua bei ya mafuta ya alizet (wakamuaji wa mtaan ni shingap Lita? na kiwandani pia)
Karibuni wenyeji/wajuzi hizo kitu mtupe data jamani!
 
Back
Top Bottom