WAJASILIAMALI kufikiri kila BIDHAA LAZIMA IUZWE MAREKANI ama ulaya ni UJUHA.

WAJASILIAMALI kufikiri kila BIDHAA LAZIMA IUZWE MAREKANI ama ulaya ni UJUHA.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
nimekuwa nikifatilia kuhusu bidhaa zinazotengezwa ndani.
Kwa kiasi kikubwa wajasiliamali wanalalamikia soko dogo na waelekeza nguvu zao katika soko la dunia na nchi za ulaya.
NI UJUHA KUFIKIRI HIVI.
Ikizingatiwa kuwa hata Afrika yetu ni soko kubwa tena ndio kimbilio la mataifa makubwa.CHINA NA INDIA SOKO LAO WANATEGEMEA AFRIKA,marekani nayo imegundua bila soko la Afrika kamwe haiwezi tena kushindana na china.
na NDIPO OBAMA AMETUMWA KUJA KUISHAWISHI AFRIKA IGEUKIE BIASHARA NA BIDHAA ZA MAREKANI.
Kinachotakiwa wajasiliamali wawe watafiti na wabunifu kuibua soko hapa hapa Afrika.
SASA GEUKIENI NA SOKO LA HAPA AFRIKA.
mnapopakimbia wenzenu ndo wanakuja kunufaika na soko bila ushindani wa wazawa na nyinyi mkienda huko mnakutana na ushindani wa wenyeji wa huko na mara mnaanza kulalamikia ruzuku.
HATA AFRIKA SOKO LIPO TENA KUBWA.
 
Ni kweli kabisa usemalo ndugu, nakuunga mkono.Wajasiriamali wetu walenge kilishambulia soko la Afrika wasihangaike na ulaya na marekani ambako ushindani wa kukidhi mahitaji ya vigezo ni mkubwa mno!
 
Back
Top Bottom