Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naagiza simu na vifaa vya simu hasa hasa samsung ambapo kwa kawaida ukienda Kariakoo vifaa vyake huwa vina gharama sana...Nilianza kuagiza vifaa ivi mara tu baada ya simu yangu Samsung S9+ kuharibika kioo, nilipoenda Kariakoo nikaambiwa ya kwamba kioo ni 410,000...Nilipoagiza online nikapata kioo kwa 212,000 pamoja na usafiri...Ndipo niliposhtuka na kuanza kuagizia watu wengine..Kwa iyo nilianza kwa ajili ya matumizi yangu binafsi..Sina mtaji nilioanza nao..Kwa sasa ni mjasiliamali,watu wameniamini,, nafanya biashara nikiwa kwenye ajira yangu bila stress..Wajasiliamali tuambizane unafanya biashara gani saizi, ulianza na mtaji wa kiasi ngapi?
Na sasa uko wapi kibiashara?
Ili na wengine tupate picha wapi