Wajasiliamali wa vyakula

nyahinga

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
45
Reaction score
23
Habari za wakati huu,

Napenda kuwapa njia bora ya kuongeza thamani wa bidhaa na mvuto kwa wateja hasa bidhaa za kufungasha.

Hapa njia nayozungumzia ni kuweka lebo, najua wengi mnaweka lakini inakosa kitu muhimu sana ambacho ni ingredients, nasema tena ingredients.

Mlaji wa sasa hasa anapenda kusoma lebo kwenye bidhaa, akikuta mfano umeandika mchanganyiko labda mahindi, soya na mtama hapa anakuwa anavutiwa lakini wasiwasi unamtawala.

Mteja anapoona jedwali la ingredients huwa anaondokewa na wasiwasi wowote kwenye hiyo bidhaa yako.

Kuna njia mbili kuu ambazo ingredients huandaliwa, njia ya awali huwa ime-base sana kwenye approximation, yaani utakuta bidhaa wameandika ingredients (Approx.) Hiyo approx ndio approximation.

Njia ya pili ni njia ya kimaabara ambayo kwa mjasiliamali mdogo huenda asimudu gharama zake, na hii haina neno Approx.

Hivyo ongeza wateja wako wakubwa na wado, mabosi na wenye supermarkets kwa kuweka jedwali la ingredients.

Kama utahitaji kuandaliwa Mimi ni mtaalamu wa nayo mambo niliyapata to Chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine.
Ni PM tufanye kazi.

Andaa kila jina la chakula kwenye mchanganyiko wa bidhaa yako, hata kama ni kimiminika lazima utaje jina lake.

Gharama ni nafuu sana inategemea unaiihitaji baada ya muda gani.
PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…