GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
wasalaam. kuna eneo la biashara ya viazi au chips linapangishwa kwa bei nzuri eneo la kimara mwisho kwa kodi ya tsh elfu 90 tu kwa kila mwezi na pia vifaa vyote vya biashara hiyo navyo vinapatikana kwa bei nafuu na ya kutupa. kwa mengi zaidi wasiliana upesi na dalali khamis wa kimara mwisho stendi kwa namba hii 0716 476296. sera ya mwenye kupangisha ni first come first serve.