WAJASIRIAMALI: Kuweni makini na rangi mtumiazo kwenye biashara zenu

Na mm nitaanzisha Uzi wa kufundisha umuhimu wa kuwa na makala fupi za kielimu......
 
Mkuu tatizo fani zetu tumezoea kusoma vitabu vikubwa vikubwa na makala ndefu. Hii mbona chamtoto?

Watanzania wengi hatupendi kusoma hasa article ndefu na ndimi tunakoshikishwa....
 
Duh.....hapa mwisho sijakusoma unamaanisha nn[emoji116] [emoji116]

......ndimi tunakoshikishwa.....

Hebu nisaidie kufafanua ulichokusudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…