Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
Ukiachana na hii video..,

1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku.

2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na vitafunio.

3. Dar kuna viwanda bubu vingi sana vya pombe kali. Naomba niishie apa

Wengine kula mgahawani ni kitu ambacho hakiepukiki kutokana na mishe zetu kutuweka mbali na nyumbani kwa muda mrefu.



Kweli Bongo nyoso, Nini kifanyike?
 
Mamaaaaaa!.Haya niliyajua tangu kitambo,niliacha kula mgahawani kitambo,sio Siri wanazingua mno!
 
Back
Top Bottom