Wajasiriamali njooni tufanye kazi

Wajasiriamali njooni tufanye kazi

Joined
Feb 11, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Heshima mbele wakuu,

Nimeamua kujiajiri baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu, nimeanzisha biashara ya masoko, natafuta masoko kwa kulipwa kamisheni, hivyo basi nawakaribisha watoa huduma wote, mfano huduma zote katika maharusi, wapiga picha, catering, wapambaji, MC na mziki, shooting na huduma yoyote inayohitaji kutafutiwa wateja basi mimi ndo suruhisho lako.

Naomba uni PM kwa mawasiliano zaidi.
 
ushairo wAngu tafuta masoko ya mazao

Mahindi vitunguu na ufuta bila kusahau maharagwe
 
huko pm kuna nini?
unataka utapeli watu nini
 
Back
Top Bottom