Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Mara ushauri utafatwamadaktari wanasemaje kuhusu soda na afya zetu ? itabidi tuzingatie ushauri wao mara hii
acha kabisa soda tutaanza kupiga nazo picha kama zamani ili kuringishiana tu si zaidi ya hapo.[emoji23][emoji23]Mara ushauri utafatwa
[emoji23][emoji23]Mara ushauri utafatwa
acha kabisa soda tutaanza kupiga nazo picha kama zamani ili kuringishiana tu si zaidi ya hapo.
hahahahahahaha hasa fanta orange, alooo tumetoka mbali na sasa tunarudi huko huko mbali tulikotoka. mama mzuri hujambo lakini ?[emoji23][emoji23][emoji23] unatoa ulimi nje kuringishia wenzako hahaha
hahahahahahaha hasa fanta orange, alooo tumetoka mbali na sasa tunarudi huko huko mbali tulikotoka. mama mzuri hujambo lakini ?
Hee Tena! Pole jamaniNaumwa hapa mkuu...wamenilaza tena[emoji24][emoji24]! nachomwa kristapeni jaman zinaumaa[emoji24][emoji24][emoji24]! NIOMBEE( In Magu voice)
polee sanaaa umelazwa wapi nikutembeleeNaumwa hapa mkuu...wamenilaza tena[emoji24][emoji24]! nachomwa kristapeni jaman zinaumaa[emoji24][emoji24][emoji24]! NIOMBEE( In Magu voice)