Wajasiriamali wenzangu tufanyeje

doama

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
808
Reaction score
650
Kwa kweli Pepsi wamejieleza vizuri sana eti hawawezi kubeba gharama zote peke yao kwa hiyo na sisi hatuwezi; wateja wetu inabidi tubebeane, tuchukuliane tulipe kodi wote kwa ustawi wa nchi yetu.
 
Kawaida tu unawauzia sema faida inapungua kidogo
 
Naumwa hapa mkuu...wamenilaza tena[emoji24][emoji24]! nachomwa kristapeni jaman zinaumaa[emoji24][emoji24][emoji24]! NIOMBEE( In Magu voice)
Hee Tena! Pole jamani
 
mkuu bombani maji ni bei chee na hayana madhara ka soda mi siko tayari kuingia hizo gharama😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…