CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Chuki ni adui mkubwa wa maendeleo na mafanikio ya mtu mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla
Hua najiuliza kwanini watu wenye hela bongo hawafanya kitu cha design hio??
Iwe kwakufata vigezo na masharti yote yakiserikali yaan kma kuwekeza hela iwe ni kwamfumo wahisa uliostarabika kabisa uliozoeleka.
Manake soko inawezekena ikawa lipo nanikubwa, watu wengi wakotayari kuwekeza katika mifumo hio sio lazima iwe nikuku inaweza ikawa kilimo cha matunda nakuuza Nje ya nchi au kuuza nyama
Tunafeli wapi???
Mkuu na vipi wale jamaa wa forever na aim global wale wana vibali vyote vya kuendesha ile biashara ya network marketing?mbona bado wapo?
Network Marketing sio Ulaghai mkuu sema ile model yao ni ngumu sana na ukiweka na umasikini wetu ni haifanyi kazi Tanzania, ile model kwa nchi masikini ni kama utapeli tu ingawa sio utapeli. Ila zipo zingine za kitapeli
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.
Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.
According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.
Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.
Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.
Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.
Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.
Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):
1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng
Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.
Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)
Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week
Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.
Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.
Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.
Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.
Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.
Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.
By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.
Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.
Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.
Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.
Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.
Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com
Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.
TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
Mrkuku hajihusishi na Farming ni vyema ungetoa mfano huo kwa upande wa poultry farming.Crowd Farming model ilia anzishwa na Mnaigeria ni taofaiti nanunacho tetea.
Mr kuku alikuwa anafanya Upatu, ile ni Pyramid.
Crowd Farming ni model ya kwamba Wewe Una shamba ila huna mtaji na wanajitokeza watu mwingine ana finance Mbolea, mwingine Mashine za kulimia na mnaingia mkataba mazao yakikomaa yakiuzwa mnagawana kulingana na makubaliono yenu.
Je ndo ilivyo kuwa kwa Mr Kuku?
Toa maelezo ya huo mfumo kwenye ufugaji ndio alichokuwa anajihusisha nacho kwanini utoe kwenye Cultivating.Crowd Farming sio hii ya wakina Mr Kuku acha kutetea Upatu mkuu.
Na inafanyika pia Zimbabwe ni kwamba ni mahususi kwa wale wenye mashamba ila hawana mitaji ndo wanakuja investor wana invest.
Mr kuku alikuwa anatumia hiyo Model? Jibu ni hapana
Nenda kuna jamaa wanaitwa JATUWatu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.
Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.
According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.
Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.
Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.
Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.
Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.
Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):
1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng
Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.
Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)
Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week
Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.
Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.
Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.
Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.
Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.
Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.
By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.
Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.
Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.
Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.
Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.
Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com
Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.
TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
Mkuu unaweza kuleta ushahidi wowote wa mtu aliyedai pesa yake ??Mkuu sio swala la Chuki je Jamaa dhamira yake ilikuwa safi? Swala linakuja kwenye dhamira, Chiki zipo sana ukiangalia malalamiko kwa jamaa yalikuwa mengi watu wanadai pesa zao wewe hiyo unaona ni sawa?
Chasha farmingi nani kadhurumiwa ??Bujibuji shida kuu ya sisi ni Tamaa na ulaghai wa kiwango cha juu hii ndo kikwazo hatuna mambo yalioa wazi, unacho sema Crowd Farming Nigeria kiko wazi kila kitu kiko wazi kabisa.
Je sisi tuna uwazi? NAMINGO walikuwa wazi? Je Mr Kuku alikuwa na uwazi?
Hakuna justification ya kudhurumu watu pesa yao, hujui wameipata vipi hadi wakaja kuwekeza kwa nia nzuri kumbe wewe nia yako sio nzuri ni dhambi pia
Mkuu vipi kuhusu JATU?Crowd Farming sio hii ya wakina Mr Kuku acha kutetea Upatu mkuu.
Na inafanyika pia Zimbabwe ni kwamba ni mahususi kwa wale wenye mashamba ila hawana mitaji ndo wanakuja investor wana invest.
Mr kuku alikuwa anatumia hiyo Model? Jibu ni hapana
Mkuu vipi kuhusu JATU?
Wafuatilie mkuuSijui kwa kweli
Chasha farmingi nani kadhurumiwa ??
Mkuu unaweza kuleta ushahidi wowote wa mtu aliyedai pesa yake ??
Toa maelezo ya huo mfumo kwenye ufugaji ndio alichokuwa anajihusisha nacho kwanini utoe kwenye Cultivating.
Ikiwa limetokea hili sawa, maana mimi nilisikia wame block kwa uchunguzi tu.Kama nafuatilia mitandao ya kijamii kuna malalamiko kna clip moja jamaa analalamila wameblock account zote za benki na hii ilitokea baada ya watu kulalamika.
Vitu kama hivi ukianza kulalamikiwa tu umeisha model ya jamaa niliwahi kumwambia live kwamba ni ngumu sana kuitekeleza na mwishoni italeta matatizo
Mrkuku hajihusishi na Farming ni vyema ungetoa mfano huo kwa upande wa poultry farming.
Aya toa tena mfano tuone kama hai-feet.
Itoshe kusema Mr Kuku ni TAPELI kama ONTARIO.Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.
Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.
According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.
Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.
Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.
Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.
Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.
Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):
1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng
Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.
Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)
Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week
Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.
Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.
Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.
Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.
Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.
Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.
By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.
Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.
Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.
Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.
Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.
Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com
Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.
TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
I
Ikiwa limetokea hili sawa, maana mimi nilisikia wame block kwa uchunguzi tu.