Tafiti zinaonesha kuwa wajawazito wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vizusi vya #Corona.
Aidha wajawazito walio na Korona wapo katika hatari ya kuathiriwa zaidi na kupelekea madhara mengine kama vile kujifungua kabla ya wakati.
Njia bora ya wajawazito kujilinda na Virusi vya # Corona ni kujitenga na watu wengine, kupunguza safari zisizo za lazima na kuvaa barakoa awapo kwenye umma.