Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 727 Reaction score 598 Oct 19, 2026 #1 Karibuni members tuiowahi pitia jela iwe Tz au popote... Karibu tukumbushane Yale mateso na karaha.. Nmepita Mgagao na Iringa mjini kule msimu wa baridi sio poa kabisa... Kaba uzi bwana mkubwa
Karibuni members tuiowahi pitia jela iwe Tz au popote... Karibu tukumbushane Yale mateso na karaha.. Nmepita Mgagao na Iringa mjini kule msimu wa baridi sio poa kabisa... Kaba uzi bwana mkubwa
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Oct 19, 2026 #2 Ilikuwaje ukaenda jela, tuanzie hapo ?
danceforme JF-Expert Member Joined Aug 3, 2026 Posts 593 Reaction score 1,398 Oct 19, 2026 #3 Meza ya Jera ndio inayo ongoza kuwa na Vinywaji vya Bei zaidi, hivyo Isiguswe
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,736 Reaction score 5,374 Oct 19, 2026 #4 Ngoja Waamke asubuhi wajelajela
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Oct 19, 2026 #5 Mimi hadi muda huu nipo kwenye jela ya mapenzi.
Excel VBA JF-Expert Member Joined Oct 27, 2025 Posts 966 Reaction score 2,211 Oct 19, 2026 #6 Wanakuja
shila 68 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2026 Posts 860 Reaction score 1,703 Oct 19, 2026 #7 Wakishakuja mu niite