Wajemeni nimeingia

Mshangai

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Posts
468
Reaction score
1,086
Nimevutiwa sana na mijadala yenye hoja zenye nguvu sasa naona nipate lau nafasi nipate kusema nanyi kidogo
 
karibu sana umependelea nini zaidi ,siasa utamaduni or

πŸ˜€
 
Mh... mbona huyu jamaa kama vile yupo tangu mwaka jana mwezi wa pili?

Join Date: Sat Feb 2008
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0

"Wajemeni nimeingia"!!?
khaaaa! leo baada ya mwaka 1 na miezi 7!!? kilikusibu nini mwenzetu?
anyway karibu sana
 
Welcome back dude! Nadhani wewe sio mgeni!
Ni kweli sio mgeni kabisa,nimetumia muda wote huo kuwasoma na kuwaelewa wenyeji mitazamo yao kabla ya kuanza kumwaga mchele hadharani.
Stay tuned.
 
karibu sana umependelea nini zaidi ,siasa utamaduni or

πŸ˜€
Firstlady1, Usihofu utanipata zaidi katika uwanja wa Siasa na taratiiibu katika mambo yetu yale ya kikubwa. Tehe tehe tehe.
 
Hodi hodi wanajamii, kwa majina natwa Adam Msendo, mkazi wa Dodoma, ninapenda kuwa miongoni mwa wanajamii ktk kuchokoza,kusikiliza, na kuchangia hoja mbalimbali. ninapenda zaidi habari za uchumi, siasa na kijamii. Naomba kuwakilisha
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…