Wajenzi tushirikishane jambo katika ujenzi wa nyumba kipindi hiki

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Nina mpango wa kujenga real estates za kupangisha.

Je, kwa nyumba ambayo ni:
  • Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi?
  • Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi zaweza kua shilingi ngapi?
  • Double room ikiwa na choo ndani yaweza gharama zake kua shilungi ngapi?
Katika hizo gharama toa gharama za kununua kiwanja.

Karibuni wajenzi.

NB: Humu JamiiForums hamna uzi unaohusu gharama ambazo ni latest za ujenzi?
 
Ok gharama itategemeana na aina ya mchoro utakaotumia na finishing unayoitaka katika ujenzi.

Ila for rough estimates(self contained rooms)
Single rooms 8millions
Two rooms 15.5millioni but hii hesabu ni kwa nyumba zilizoungana, incase ukifanya separates gharama inakuwa juu zaidi, for more details come inbox
 
Ok gharama itategemeana na aina ya mchoro utakaotumia na finishing unayoitaka katika ujenzi.
Ila for rough estimates
Single rooms 8millions
Two rooms 15.5millioni but hii hesabu ni kwa nyumba zilizoungana, incase ukifanya separates gharama inakuwa juu zaidi, for more details come inbox
Ngoja nijisogeze karibu na huu uzi.vichwa vishaanza kutema madini ya Mzee laizer.
 
Nina mpango wa kujenga real estates za kupangisha.

Je, kwa nyumba ambayo ni:
  • Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi?
  • Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi zaweza kua shilingi ngapi?
  • Double room ikiwa na choo ndani yaweza gharama zake kua shilungi ngapi?
Katika hizo gharama toa gharama za kununua kiwanja.

Karibuni wajenzi.

NB: Humu JamiiForums hamna uzi unaohusu gharama ambazo ni latest za ujenzi?

Habari yako.
Bwana katika hiyo project yako naomba tenda za kuleta mchanga kokoto na pia kufyatua tofali na pavers.

Nina concrete mixers mbili pavers machine
Pia naweza kumutengezea frame na panel za milango na kukufanyia trusses za roofing.

Napatikana dar
 
project yangu ipo mkoani mkuu, haipo dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa ungetafuta wataalamu sahihi wakuongoze,Tafuta Architect akuandalie michoro kutokana na site zako zilivyo.Pili mtafute QS akutayarishe gharama za ujenzi.Hii nadhani itakusaidia kufanya vitu kwa uhakika zaidi.Ukihitaji Architect karibu napatikana
 
ndio mana nimekuja kuwatafuta hao architect mkuu na hao QS ili tushirikiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu me pia nataka nifanye,hapa najiuliza nyumba hipi ni nzuri kupangisha if ni single room au sebule na chumba kwenye faida
 
Nina mpango wa kujenga real estates za kupangisha.

Je, kwa nyumba ambayo ni:
  • Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi?
  • Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi zaweza kua shilingi ngapi?
  • Double room ikiwa na choo ndani yaweza gharama zake kua shilungi ngapi?
Katika hizo gharama toa gharama za kununua kiwanja.

Karibuni wajenzi.

NB: Humu JamiiForums hamna uzi unaohusu gharama ambazo ni latest za ujenzi?
Mkuu kwa uzoefu wangu single room ina maana masterbedroom,sebule,dining,kitchen and store 15m

Doble room itaenda mpaka 22m karibu sana tukuandalie kuanzia michoro,bill of quantity (boq) and schedule of materials pia tutakujengea kwa gharama nafuu.
 
Back
Top Bottom