Banda.Unawezaje kujenga ‘single room’ ukaita nyumba.?
Ngoja nijisogeze karibu na huu uzi.vichwa vishaanza kutema madini ya Mzee laizer.Ok gharama itategemeana na aina ya mchoro utakaotumia na finishing unayoitaka katika ujenzi.
Ila for rough estimates
Single rooms 8millions
Two rooms 15.5millioni but hii hesabu ni kwa nyumba zilizoungana, incase ukifanya separates gharama inakuwa juu zaidi, for more details come inbox
Nina mpango wa kujenga real estates za kupangisha.
Je, kwa nyumba ambayo ni:
Katika hizo gharama toa gharama za kununua kiwanja.
- Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi?
- Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi zaweza kua shilingi ngapi?
- Double room ikiwa na choo ndani yaweza gharama zake kua shilungi ngapi?
Karibuni wajenzi.
NB: Humu JamiiForums hamna uzi unaohusu gharama ambazo ni latest za ujenzi?
Kubwa au ndogo??Single room milion 8?????hebu tupe mchanganuo
project yangu ipo mkoani mkuu, haipo darHabari yako.
Bwana katika hiyo project yako naomba tenda za kuleta mchanga kokoto na pia kufyatua tofali na pavers.
Nina concrete mixers mbili pavers machine
Pia naweza kumutengezea frame na panel za milango na kukufanyia trusses za roofing.
Napatikana dar
ndio mana nimekuja kuwatafuta hao architect mkuu na hao QS ili tushirikianeKikubwa ungetafuta wataalamu sahihi wakuongoze,Tafuta Architect akuandalie michoro kutokana na site zako zilivyo.Pili mtafute QS akutayarishe gharama za ujenzi.Hii nadhani itakusaidia kufanya vitu kwa uhakika zaidi.Ukihitaji Architect karibu napatikana
duh sio kwamba mtafidia gharama za usafirishaji, japo from dar to.huku nilipo nj kama 300 kmIpo mkoa gani mkuu...sie tunasafirisha tuu mitambo cha msingi kazi iwepo. Alafu uzuri mwenye mitambo yeye mwenyewe engineer.
duh sio kwamba mtafidia gharama za usafirishaji, japo from dar to.huku nilipo nj kama 300 km
Sent using Jamii Forums mobile app
poa..Mzee ni mpango tuu maelewano.
Kama project ni kubwa nitaweza kumudu hiyo ya kusafirisha mwenyewe na pia itanipa opportunity ya mie kupata fursa zingine huko...thats the way i look at it.
Mkuu kwa uzoefu wangu single room ina maana masterbedroom,sebule,dining,kitchen and store 15mNina mpango wa kujenga real estates za kupangisha.
Je, kwa nyumba ambayo ni:
Katika hizo gharama toa gharama za kununua kiwanja.
- Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi?
- Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi zaweza kua shilingi ngapi?
- Double room ikiwa na choo ndani yaweza gharama zake kua shilungi ngapi?
Karibuni wajenzi.
NB: Humu JamiiForums hamna uzi unaohusu gharama ambazo ni latest za ujenzi?