FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Mbona wizara ya ajira ilitoa viwango vya mshahara kwa watumishi wa ndani na maderevaSI ni makubaliano na mapatano kwani Mh. Lukuvi anakuwepo wakati mnaingia mikataba
watumishi wa ndani sio professional job ila ujenzi ni professional so mtu anakubaliana kutokana na ujuzi wakeMbona wizara ya ajira ilitoa viwango vya mshahara kwa watumisi was ndani
Mbona wizara ya ajira ilitoa viwango vya mshahara kwa watumisi wa ndani na madereva
Kama ni hivyo mbona makampuni au serikali haipatani mshahara kulingana na ujuziwatumishi wa ndani sio professional job ila ujenzi ni professional so mtu anakubaliana kutokana na ujuzi wake
Kuna makubaliano yanafanyika mpk kusainishanaIf
Kama ni hivyo mbona makampuni au serikali haipatani mshahara kulingana na ujuzi
Sawa Ila ingekuwa kote huku na sehemu nyingi ni 15 kwa 8LABDA UKO ULIPO WEWE NDIO WANALIPWA HIVYO ILA HUKU MOSHI TUNAJUA KABISA KUTWA YA FUNDI NI 20,000 NA KIBARUA NI 10,000 NA HII ILIANZA SIKU NYINGI SANA SASA NASHANGAA WEWE HUJUI AU MKOA ULIPO NDIO HAWALIPWI HIVYO?