Wajenzi wa utopoloni wako kazini, matofali ya biscuit

Wajenzi wa utopoloni wako kazini, matofali ya biscuit

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
mafundi maiko wa usajili wako kazini washajua hiki ni kipindi cha amshaamsha ya vyura vyuranii ,kudadeeki walahi na yale mapoyoyo yao ya media kina Priva na kitenge kikanga yanavyowapamba na wale wa mwanaspoti utasema ni PSG hao

tofalii.jpeg
 
Kuiongoza Yanga ni rahisi sana kwasababu mashabiki wao ni wepesi sana kudanganywa.

Yanga haina scouting nzuri ya kusaka wachezaji,huwa wanavizia wachezaji watakaopoint Simba kisha wanapindua meza kama walivyofanya kwa Aucho.

Yando ndo timu inayoongoza kusajili viwete hapa Tanzania.
 
mwakani wa congo wa mkopo wanasepa wote
 
Ila wachambuzi mbn wanapigwa ganzi hutasikia kelele kokote. Ila ingekua Simba hata kama unconfirmed ungesikia vumbi lake. Kweli kwenye watanzania kumi ujue saba ni Simba. No one cares about uto
 
Ila wachambuzi mbn wanapigwa ganzi hutasikia kelele kokote. Ila ingekua Simba hata kama unconfirmed ungesikia vumbi lake. Kweli kwenye watanzania kumi ujue saba ni Simba. No one cares about uto
jamaa wamejipanga kwenye media hilo lazima ukubali wansamabaza bahasha za khaki kwelikweli, kuna hadi majuzi "machambuzi" wa clouds fm anasema Mo ana hela gani ya kuendesha simba wakati anauza viberiti tu, the hatred is real...ingekuwa simba inasajili wachezaji 10 wa kigeni inaacha 8 kila msimu pasingekalika hiko redioni
 
Aiseee jangwani ni jangwani tu hakunaga kila kitu kila msimu wachezaji wapya benchi jipya yaani usajili mbwembwe matokeo vichapo kwa mfumo huo subirini kubebwa tena
 
Back
Top Bottom