njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
mwakani wa congo wa mkopo wanasepa woteKuiongoza Yanga ni rahisi sana kwasababu mashabiki wao ni wepesi sana kudanganywa.
Yanga haina scouting nzuri ya kusaka wachezaji,huwa wanavizia wachezaji watakaopoint Simba kisha wanapindua meza kama walivyofanya kwa Aucho.
Yando ndo timu inayoongoza kusajili viwete hapa Tanzania.
Mikopo fc
jamaa wamejipanga kwenye media hilo lazima ukubali wansamabaza bahasha za khaki kwelikweli, kuna hadi majuzi "machambuzi" wa clouds fm anasema Mo ana hela gani ya kuendesha simba wakati anauza viberiti tu, the hatred is real...ingekuwa simba inasajili wachezaji 10 wa kigeni inaacha 8 kila msimu pasingekalika hiko redioniIla wachambuzi mbn wanapigwa ganzi hutasikia kelele kokote. Ila ingekua Simba hata kama unconfirmed ungesikia vumbi lake. Kweli kwenye watanzania kumi ujue saba ni Simba. No one cares about uto