Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Labda Elon aanze kuuza Tesla huku Afrika ili kucover anguko la mauzo linalotokea huko Ulaya.waafrika wanasemaje?
Huyo mbwa Africa ndio hatutaki hata kumuona.Labda Elon aanze kuuza Tesla huku Afrika ili kucover anguko la mauzo linalotokea huko Ulaya.
Madhara ya kuchanganya biashara na siasa.Huyo mbwa Africa ndio hatutaki hata kumuona.
Hauna taarifa sahihi. Hicho chama unachosema wajerumani wengi hawakipendi, katika uchaguzi kimekuwa cha pili kwa kura.Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kutokana na survey iliyofanyika huko ujerumami iliyohusisha wajerumani 100,000 94% ya wajerumani wamesema ya kuwa hawatatumia magari ya tesla.
Sababu zinazofanya wajerumani kuikataa tesla ni zifuatazo;
⭐Elon Musk kuisapoti Alternative für deustchland (AFD PARTY) hiki ni chama cha siasa huko ujerumani ambacho kinahusika katika kuchochea wajerumani wasitumie Euro na pia kilipinga sera za uhamiaji ujerumani kwahiyo wajerumani wengi hawakipendi hiki chama.
⭐Kuwepo kwa ushindani katika soko la EV. Inainekana kuna EV kali kuliko za Tesla hasa ile model Y imekuwa na performance mbovu.
⭐Elon Musk kufanya Seig Heil salute katika kampeni za Trump. Seig Heil salute ni salute iliyokuwa inatumiwa na chama cha Nazi.
Mauzo ya Tesla yameshuka kwa 41% huko ujerumani katika mwaka 2024 ukilinganisha na mwaka 2023. Na pia katika miezi miwili ya mwanzo ya mwaka huu mauzo ya Tesla yameshuka kwa 70%.
Chanzo:
Tesla is done in Germany: 94% say they won't buy a Tesla car
A survey of over 100,000 Germans revealed that 94% won’t buy a Tesla vehicle. It doesn’t bode well for the...electrek.co
Yangu ni hayo tu. Maoni yanaruhusiwa mapovu baki nayo.
Nakumbuka ulikuwa unajipinda huku kwamba Trump hashindi hata kwa dawaHao vichaa wawili ni wakutengwa na dunia, Trump na Elon Musk.
Acha uongo mkuu. Soma hadi mwisho.Hauna taarifa sahihi. Hicho chama unachosema wajerumani wengi hawakipendi, katika uchaguzi kimekuwa cha pili kwa kura.
Wajerumani wengi wanapinga uhamiaji hata chama kilichoshinda kina sera ya kuzuia wahamiaji.
Mkuu sasa unapingana na matokeo ya uchaguzi kwa hayo maelezo?Acha uongo mkuu. Soma hadi mwisho.
The Alternative for Germany (AfD) is a controversial party with both strong support and strong opposition.
Support for AfD
It has gained popularity, especially in eastern Germany, where some voters feel ignored by mainstream parties.
Many supporters are critical of immigration policies, the European Union, and what they see as political correctness.
It has performed well in recent elections, sometimes winning over 20% of the vote in certain regions.
Opposition to AfD
Many Germans strongly oppose AfD, especially because of its far-right positions and accusations of extremism.
Some members have been linked to racist, nationalist, and anti-democratic views, leading German intelligence to monitor parts of the party.
Large protests have taken place against AfD, especially in big cities and among younger voters.
Overall, while AfD is popular with a significant minority, a majority of Germans dislike or reject the party. Its support varies by region, with more backing in rural and eastern areas than in western Germany.
Sijasema ya kuwa hicho chama hakijawa cha pili. Ila AI hapo imeeleza ya kuwa hiko chama kinapingwa na wajerumani wengi chama kuwa cha pili haimaanishi ya kuwa kinapendwa na wengi. Na AI imeeleza ya kuwa kimepata wafuasi wengi miaka ya hivi karibuni.Mkuu sasa unapingana na matokeo ya uchaguzi kwa hayo maelezo?
Uchaguzi uliopita matokeo yake haya hapa chini
View attachment 3273670
Kimekuwa cha pili kwa kupata kura na viti vingi. Sasa kama unapingana na matokeo basi ni wewe?
Europe sasa wana tendency ya kuviita vyama ambavyo vinapingana na sera zilizozoeleka kuwa Far Right na hii ni term ambayo ni sawa na kusema ni extremists.
Narudia tena, si maneno yangu, hicho chama kimkuwa cha pili katika uchaguzi ulioisha mwezi uliopita. Kwa kawaida ilikuwa kiungane na chama kilichoshinda kuunda serikali lakini chama kilichoshinda kimeamua kiungane na SPD badala yake kwa sababu AFD wanakiita Far Right. Lakini AFD na CDU vyote vinapinga kuruhusu wahamiaji kiholela.
WAmeenda mbali zaidi hata kukizuia kuhudhuria mkutano ambao kilipaswa kuhudhuria na ndiyo maana JD Vence aliwachana kuhusu kuhubiri demokrasia ambayo hawaiishi.
Kitendo cha kuchukua asilimia 20%. Uchaguzi wa 2021 kilikuwa kimepata asilimia 10 tu. Kwanza ambacho unabidi ujue uchaguzi wa Jerumani wa mwaka huu umevunja rekodi kwa wapiga ura asilimia 82.5 kupiga kura. Hili halijawahi kutokea.Sijasema ya kuwa hicho chama hakijawa cha pili. Ila AI hapo imeeleza ya kuwa hiko chama kinapingwa na wajerumani wengi chama kuwa cha pili haimaanishi ya kuwa kinapendwa na wengi. Na AI imeeleza ya kuwa kimepata wafuasi wengi miaka ya hivi karibuni.
Nakubali mkuu.Kitendo cha kuchukua asilimia 20%. Uchaguzi wa 2021 kilikuwa kimepata asilimia 10 tu. Kwanza ambacho unabidi ujue uchaguzi wa Jerumani wa mwaka huu umevunja rekodi kwa wapiga ura asilimia 82.5 kupiga kura. Hili halijawahi kutokea.
Kilichokuwa chama tawala kilipotea uchaguzi kwa kuanguka na kujipatia 16% ya kura.
Si kweli kusema hiki chama kinachukiwa na Wajerumani wengi. Ni media tu ambazo zinakipaint hivyo na ndio maana kuepuka hilo kampeni zake zilikuwa zaidi tiktok.
Ukiondoa sera yake ya kuitoa EU na sijui NATO, watu wengi wanaunga mkono sera za chama hicho kwa sababu sera za chama kilichopita cha Bi Markel zimeangusha uchumi wa Germany.
Hata chama kilichoshinda uchaguzi kina sera kibao zinaendana na AFD ikiwemo kuzuia wahamiaji ambao sasa wameipa shida Germany na mzigo mkubwa.
Suala musk mauzo kushuka ni kwa sababu ya kuingilia mambo ya watu. Huyo jamaa inabidi aanguke vinginevyo atakuwa ni jamaa fulani mwenye nguvu kubwa ambaye ana dictate nchi na kila kitu. He wants to dictate Europe, He wants to dictate Mexico, China, the US kila sehemu.
Na X nayo hoii... Ulay inafaa kuamka iache kuwa tegemezi sana kwa Marekani hadi kutishiwa kila mara.
Serikali na vyama vingine kwa ujumla vililaumu yeye kuingilia uchaguzi wa Ujerumani, amefanya hivyo hata UK kusupport mtu fulani. Lakini kusema kuwa AFD haipendwi na watu wengi ujerumani mimi ndicho ninachokipinga hapa.Nakubali mkuu.
Ila taarifa kutoka kwenye chanzo kinadai ya kuwa Elon kuisupport AFD kimefanya mauzo yashuke.
View attachment 3273698
Balidi mkuu.Serikali na vyama vingine kwa ujumla vililaumu yeye kuingilia uchaguzi wa Ujerumani, amefanya hivyo hata UK kusupport mtu fulani. Lakini kusema kuwa AFD haipendwi na watu wengi ujerumani mimi ndicho ninachokipinga hapa.
Sababu pia zinaweza kuwa ni zaidi ya hicho. Many germanys support Ukraine against Russia, sasa yeye mara amewatishia kuzima Starlink mara amesema hivi mara vile, na plus ni Trump's buddy sasa ni rahisi ku get back at Trump kwa kupuuzia kununua bidhaa za jamaa yake.
Kama suala ni hilo tu, Kwanini yameshuka CAnada, yameshuka UK, yameshuka Marekani penyewe hadi hata wanaoendesha Tesla sometimes gari zao zinashambuliwa na watu. Kuna video nimeona jamaa wanazibandika gari zao logo tofauti na tesla ili kujaribu kuzuia kushambuliwa.
Ukitazama zaidi shida ya Tesla goes beyond kuingilia uchaguzi wa Ujerumani.