Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Wapwa Bora hamu ya kua na mtu umpendae yaan akiumwa,akipata shida, upo Kwa ajili yake yaan hamu ya kua nae ni kubwa.
Au wajibu unapata mtu anaekuelewa zaidi anakua na wajibu juu Yako anatimiza Kila haja Yako kuliko yule ambae unahamu nae so ni Bora kipi kati ya hamu na wajibu.
Nipo njia panda🐼🐼🐼 .
Au wajibu unapata mtu anaekuelewa zaidi anakua na wajibu juu Yako anatimiza Kila haja Yako kuliko yule ambae unahamu nae so ni Bora kipi kati ya hamu na wajibu.
Nipo njia panda🐼🐼🐼 .