Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Yaan Kuna Mmoja wee ndo unahamu naye.
Mwingine yeye ndio anakuwajibikia ila huna naye hamu.
Mimi nakushauri uende Kwa uliyenaye hamu ,ila usitaman Pesa ya anayekuwajibikia.
Toka hapoNipo njia panda
Aya natokaToka hapo
Unaelekea wapAya natoka
Ntakapo fikaUnaelekea wap
SawaGo to a responsible man
SawaBaki na umpendaye, pesa zinatafutwa na zinaishaga...
Usijesema sikukwambia dada...
Sawa mfikajiNtakapo fika