Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Kama Taifa tumeunganishwa na wajibu binafsi, wajibu kwa jamii na wajibu kwa taifa bila vitu hivi vitatu muhimu hatutaendelea kama taifa. Ili Taifa lifanye kazi na liendelee hivi vitu vitatu lazima viwe hai wakati wote. Wananchi wawe conscious navyo kwakuwa raia bila kujitambua juu ya utaifa wao na wajibu wao kwa hivyo vitu vitatu tutakuwa hatujengi nchi.
Familia zimeunganishwa na jamii na jamii imeunganishwa na Taifa kwahiyo ni muhimu watu wetu wawe conscious juu ya vitu vyote hivyo vitatu. Lakini tofauti na ilivyo sasa tumetelekeza vitu vyote hivyo vitatu kila mtu akijiangalia nafsi yake hatutaweza kujenga taifa namna hiyo. Ili tuwe na harmonius society na nchi yenye order ni lazima tuzingatie mambo hayo matatu muhimu.
Na ni lazima uwepo uhusiano mzuri kati ya hayo mambo matatu ili kuunda framework inayofanya kazi vizuri. Siasa haijaundwa kubomoa vitu hivyo vitatu na mahusiano yake imeundwa kuvijenga na kuvifanya vifanye kazi vyema kwakuwa bila vitu hivyo vitatu kufanya kazi katika ufanisi wake, taifa hili halitaweza kuzalisha na kuendelea. Ni muhimu mahusiano ya vitu hivyo vitatu kujengwa. Mahusiano ya familia, jamii na taifa ili kuunda wajibu wa pamoja na mwelekeo wa Taifa. Tutajenga Taifa imara tutakapo zingatia wajibu hizi tatu.
Ni muhimu kujenga social structure itakayofanya kazi kwa kuzingatia wajibu hizi tatu muhimu kwa ujenzi wa taifa lolote imara. Ni muhimu kujenga mahusiano yetu. Lakini ujenzi wa mambo yote haya unahitaji nidhamu ya hali ya juu kwa upande wa serikali na upande wa jamii. Kamwe hatutaweza kujenga taifa hili katika ubinafsi bali tutaliunda kwa kujitolea na kuzingatia wajibu hizi tatu.
Kwahiyo hatua ya kwanza kwa taifa hili kuendelea ni pale tutakapoweza ku organize watu wetu na kuzingatia wajibu hizo tatu na kuwa na malengo ya pamoja ya kufanya jamii zetu zikue na taifa letu liendelee.
Tukifanikiwa hili na kuwafunza watoto wetu wanaokua juu ya Utaifa pamoja na uzalendo na wajibu hizo tatu ndio itakuwa hatua ya kwanza ya kuendelea kwetu.