WAJIBU: Umuhimu wa Ukaguzi wa Hesabu

WAJIBU: Umuhimu wa Ukaguzi wa Hesabu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Ukaguzi wa Hesabu kwenye Sekta ya Umma ni utaratibu wa kupitia usahihi wa taarifa za Mapato, Matumizi, mali, madeni pamoja na utendaji ili kubaini kama Sheria, Kanuni, Taratibu na thamani ya fedha zimezingatiwa

Ni muhimu kuelewa taarifa za ukaguzi ili kufahamu jinsi Rasilimali za Umma zilivyotumika na kuwawezesha wananchi kudai Uwajibikaji kwa Maendeleo ya Taifa

Ukaguzi.png
 
Back
Top Bottom