Wajinga ndio waliwao ukinunua jezi ili uingie bure mechi ya Yanga vs Medeama ni sawa na ujuha

Yaani una mchezaji unamlipa milion 28 alfu Bado unawaambiwa watu waingie bureee uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…