Wajiolojia wanatuambia mbeleni Tanzania itakuwa kisiwani

Natty Bongoman

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2008
Posts
403
Reaction score
191
Habari wanaJF.

Majuzi wenzetu Kenya walikumbwa na janga pichani hapo chini.

1647050674344.png

mjadala wa hili tukio wajiolojia wanatuambia ni ishara ya mgawanyiko utakaotokea mbeleni. Ukiangalia ramani, wanatuambia bonde la ufa ni kama mipaka ya mapande mawili ya ardhi yanayoonyesha kusogea, kila pande upande wake... ramani ya mwisho ni ya makisio baada ya mmomonyoko - kisiwa kipya nnachokiita 'Uswahilini'

1647051081198.png

1647051116123.png

1647051138950.png
 
Ngoja nicheki investments zangu zinafanya vipi.. i am not worried about this... kama ni kutokea ni baadae sana wakati sisi na watoto wa kizazi hiki tumeshakufa. Thanks lakini for sharing this info
 
poa Doc... hata mm sidhani hili ni maishani mwetu labda itokee bonge la tetemeko
...nawaombea swala wacongo wasiwe vitani pa kukimbilia toa
 
Mbele mbele huko dunia inabadilika kila miaka kadhaa ndo maana archeologists wanachimba chini kutafuta masalia ya majengo na historia za watu wakale miji inapotea na kufukiwa so its possible
 
Inaweza kutokea in years to come, labda mambo yatakuwa kama jiji la Atlantis
 
Habari wanaJF.

Majuzi wenzetu Kenya walikumbwa na janga pichani hapo chini.

View attachment 2147482

mjadala wa hili tukio wajiolojia wanatuambia ni ishara ya mgawanyiko utakaotokea mbeleni. Ukiangalia ramani, wanatuambia bonde la ufa ni kama mipaka ya mapande mawili ya ardhi yanayoonyesha kusogea, kila pande upande wake... ramani ya mwisho ni ya makisio baada ya mmomonyoko - kisiwa kipya nnachokiita 'Uswahilini'

View attachment 2147483

View attachment 2147484

View attachment 2147485
Ni kweli kabisa blonde la ufa kipande Cha Mashariki kinatanuka Kwa urefu wa sm 10 Kwa mwaka kutoka bahari ya Shamu/Red sea Hadi Mozambique kwahiyo viumbe vijavyo vitegemee upande wa Mashariki wa bonde Hilo yaani mikoa kama Kilimanjaro, Morogoro, Mtwara, Mbeya, Iringa, Njombe, Lindi, Pwani na DSm na baadhi ya maeneo ya Dodoma, Manyara na Arusha kutengeneza Bara lao huko mbeleni
 
Asante kwa nyongeza mkuu
 
Bora tuachane na Chato
 
Akili za watu bana, eti jamaa wanasema bora wakajenge upande wa kisiwa ili iwakutie huko daaa!.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣...
 
Back
Top Bottom