WAJIR-Vikosi vya Polisi vimesambazwa Na kuamriwa kufyatua risasi angani ili kuua Nzige

WAJIR-Vikosi vya Polisi vimesambazwa Na kuamriwa kufyatua risasi angani ili kuua Nzige

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Haya ni Maajabu, Huko kenya Hakuna masomo? Hamjui pest control? Wazee kweli mmedata [emoji2][emoji2][emoji2]
IMG_2769.JPG
 
Njaa imeathiri sana uwezo wa kufikiria wa Wakenya
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23] kwani hao nzige ni wakubwa mithili ya ngombe.

Ubongo ukikosa Nutrients huwa unakuwa malfunctioned , ndugu zetu wanavuta miraa na hawali
 
Waje tuwape vyandarua


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom