Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Kwa namna ilivyo na kwa namna inavyooneķana, vyama vya upinzani vitakuwa vinaibuka na kupotea kila mara. Yaani vitakuwa vya msimu
CHADEMA miaka ya nyuma kidogo ulikuwa ukiangalia safu ya viongozi wao, wanachama waandamizi na hata mashabiki uliweza kuwaona watu makini, waibua hoja, watetezi wa wananchi na nchi
Kadiri siku zinavyozidi kwenda, mawimbi ni mengi na dhoruba ni kali hauoni namna kitavuka salama
Nadhani sio lazima kuwa na vyama vingi ndio tuwe na uwezo wa kutoa mawazo mbadala. Ni muda sasa wote wakae kundi moja, wapingane kwa hoja wakiwa humo humo ili ushabiki wa vyama ufe na hatimae uzaliwe ushabiki wa maslahi ya nchi na maendeleo ya watu kuliko ilivyo sasa
Kuna watu wanaweza kuona wazo la kipuuzi lakini walioleta vyama vingi Afrika kuna kitu walikiweka nyuma ya pazia watu wengi hawawezi kukiona.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM