Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

Hivi ndg msomi wa katiba Kuna tofauti gani kati ya mkataba uliopitishwa na Bunge na miswada inayopelekwa bungeni baada ya kupitisha na Bunge Rais anapelekewa kuisani?
 
Kama aliweza kumtoa Spika wa Bunge na maisha yakaendelea, akamuongezea Jaji mkuu mda kinyume ba katiba na maisha yapo yanaendelea. Hayo makaratasi ndiyo yamshinde. We mzee nawe unazeeka vibaya ujue!
 
Waislam wanautetea mkataba kwa ajili ya maslahi yao kidini.
Wameahidiwa kujengewa misikiti kibao.

Pili wanamtetea mwislam mwenzao.

Huu ni ujinga wa hali ya juu.
 
Mchumia tumbo na Mayalla maana yake njaa una njaa ya kiiunua mgongo pole sana
 
Kam hiki kitu kilifanyika basi kuna makosa hii ni dalili ya njama au nia ovu
 
Unajua nchi zetu hizi masikini maana yake ni nchi za watu wajinga na wapagani: "watu wasio na uelewa wa mambo na elimu ya vitu'.

Wewe unapowaambia au unaposema watu wasichanganye dini na siasa una maana gani?

Dini ni kwa ajili ya nini?

Siasa ni kwa ajili ya nini?

Kati ya Dini na Siasa nani anajua maisha ya mtu?

Kazi ya siasa (Serikali) ni nini? Na kazi ya Dini ni nini?

Siandiki juu ya DP World na Bandari kwani sijafanya utafiti, lakini najiuliza kati ya wewe ulieandika au kile unachosema siasa na TEC, nani anajua Sheria (Katiba)?

Hao TEC unaosema hawajui Katiba ni watalaamu wa Maadili yaani Sheria ya Maadili au Sheria ya Asili, ambayo sheria zote (Katiba) zinatoka kwake.

Sasa hapa hoja yako ni nini?
 
Lile tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kuipinga DPW na Bandari zetu, leo limesomwa mimbarini na madhabahuni na maparoko wa makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima kwenye kila ibada ya kila misa!.
Mimi nakuweka sawa. Suala la Bandari ni suala la kiuchumi na ulinzi wa nchi yetu. Si suala la kisiasa!!!
 
Wewe sasa unataka Wakutenge, uko tayari kutengwa ? kumbuka katekizimu inavyo fundishwa, lolote linalo fungukiwa humu duniani na hao mitume wa Yesu, limefungwa pia na Mbinguni na lolote linalofunguliwa na hao, Mbinguni pia. Usicheze na hawa watu wa Mungu... Shauri yako. Kama wana makosa, hiyo ni juu yao, wao wameisha funga mkataba hawautaki? Fanya kazi ya ziada waukubali na waufungue.. ni hivyo tu. Kwa sasa wameukataa Duniani na Mbinguni kama Katekizimu inavyosema... sijui kama uliisoma wakati wa komunio na kipaimara.... uliisoma au umesahau?
 
Duuu.umenitisha uliposema kuwa bunge la mazuzu!!
 
Huyo kibibi humwambii kitu kuhusu dpw sijui anaHISA
Lakini, sijajua huyu Mkuu wetu Faiza Foxy, kama atakuja kujidhibitishia kuwa ndege yetu moja imeombewa kibali isionekane kwenye flight radar kutokana na mashinikizo ya "watarajiwa" atajisikiaje na atakuja na hoja ipi ya kuushawishi umma kuhusu jambo hili?

Yaani sipati picha kabisa.
 
Watakuambia safari za mkuu ni siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…