Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

Mapoyoyo hamuishi. Njaa inakusumbua.

Lazima mtatapika na hovyo vihela mlivyopewa. Na kwanza ndiyo Vita Ni mbichi.

Nani kakwambia bandari Ni siasa. Bandari Ni rasilimali za nchi. Lazima zilindwe dhidi ya waporaji.

Hizi elimu zenu za kuunga unga za Sheria ndiyo matokeo yake haya.

Prof Issa Shivji unaemsema alikufundisha katiba ndiyo wa kwanza kumrai Samia kurejesha mkataba bungeni. Ndiye wa kwanza kusema kwenda mahakamani haitasaidia Bali mkataba urudi bungeni na bunge litengue maamuzi yake.


Hapa wewe unmzunguzia Shivji yupi? Kama Ni huyu tunaemjua na ambae unadai alikufindisha somo la Katiba, wewe unataka kubishana na mwalimu wako wa sheria?

Paskali una tatizo la kuandika makala kwa kupima upepo Ni bahati mbaya bado nyota haing'ai kupata kile unachotamani.

Bandari zetu hazitauzwa.! Najua tumbo lako linanguruma njaa lkn kufa tu , nyie watetezi Ni mahayawani tu.

LEO HADI MTOTO WA CHEKECHEA AMEJUA KUNA MKATABA MBOVU WA KUUZA BANDARI ZETU KWA WAARABU.

Mayala tafsiri yake Ni njaa. Ila kufa njaa tu, Nani anajali!
 
Mkuu P. Pia bunge lingeukataa mkataba Rais pia angevunja bunge. Kwaheri
Hapana, hiyo ndio jukumu la Bunge kuisimamia sserikali,Bunge lilipaswa kuifanyia review ile IGA ili tupate HGA nzuri.
P
 
Ni Nini kinatokea pale bunge km mhimili linapopitisha na tunajua baada ya hapo Ni rais pia kusaini km mhimili pia.

Ndugu msomi huo mkataba (siyo makubaliano) Rais asipousaini Ni nn kinatokea na tafsiri yake Ni nn.

Karibu msomi wa katiba!
 
Ni Nini kinatokea pale bunge km mhimili linapopitisha na tunajua baada ya hapo Ni rais pia kusaini km mhimili pia.
No Bunge linapotunga sheria, ndipo rais huhitajika kusaini, lakini Bunge linaporidhia mikataba ya kimataifa, linatoa Azimio tuu ambalo rais hahusiki. Azimio la Bunge ni amri, serikali ni kutekeleza tuu!.
Ndugu msomi
Mimi sio msomi!.
huo mkataba (siyo makubaliano) Rais asipousaini Ni nn kinatokea na tafsiri yake Ni nn.
Rais hahitajiki kusaini. Rais anawajibika kusaini miswada ili kuwa sheria. Rais asiposaini, anarudisha Bungeni kurekebisha, Bunge likimgomea rais analivunja Bunge.
Karibu msomi wa katiba!
Sio msomi ila nimesoma tuu sheria, LL.B, kusomea kitu ni jambo moja na kuwa msomi wa hicho kitu ni jambo jingine. Mawakili wana mtindo wa kujiita wakili msomi, kiukweli wengi wao ni kujidai dai tuu, hawana usomi wowote, mimi mwenyewe pia ni wakili lakini sijawahi kujiita wakili msomi!.
P
 
Wakati nasoma political science nilifundishwa kuhusu separation of power na checks and balance lakini kwa bongo hivi vitu utavisikia tu. Executive imeatamia vyote.
 
Kusema kuwa hawezi kuingilia bunge ni UONGO.kama hawezi kuingilia bunge kwa nini spika jobu ndugai alimfukuza baada ya kusema nchi itauzwa ?
JYN alijiuzulu mwenyewe, hakufukuzwa!
.https://www.jamiiforums.com/threads/ndoa-halali-ndoa-batili-na-ndoa-batilifu-je-wajua-pia-kuna-msamaha-halali-wa-kweli-msamaha-batili-na-msamaha-batilifu-msamaha-ule-ni-batilifu.1945143/ halafu akaandika barua batili ya kujiuzulu Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

P
 
Usituchanganye Pimbi
 
Utafikiri mkataba uliundwa na bunge lenyewe, anyway katiba mpya ituondolee Rais kuwa sehemu ya bunge.
 
Hivi tulipigania/tulidai uhuru wa kazi gani kama hatuwezi kusimamia mambo yetu wenyewe? na serikali inakiri hivyo kuwa TPA nimeshindwa na dawa ni kuleta waarabu. Hivi watanzania tunafifikri vizuri kweli? Hatujifunzi tu makosa tuliyofanya huko nyuma(madini, tanesco, dawasco, railways nk)?

Inatisha na kusikitisha sana ukiona wasomi wazuri namna hii waliosoma shule za umma na kwa kodi za walala hoi wanashupaa mishipa ya shingo kutaka bandari zetu wapewe DPW. Tumekurogwa na nani sisi ngozi nyeusi?
 
Kaka Paskali, nimekushangaa sana hapo uliposema NANUKUU..
Kumbe maaskofu wetu hawaijui katiba!, hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba yetu, Rais wa JMT hana mamlaka ya kufuta Azimio la Bunge!, ili Rais Samia alifute Azimio la Bunge, inambidi Rais Samia alivunje Bunge!. MWISHO WA KUNUKUU..

Swali langu kwako ni hili

kwamba kwa sababu maombi yao yanapelekea kuvunjwa kwa bunge, BASI NDO HAWAJUI KATIBA?
 
BW. P., umetutambia humu kuwa ulikuwa mwanafunzi mzuri wa Prof. Shivji na kupata A. Katika mjadala huu unaoendelea Shivji alisha toa maoni yake ya kisheria. Swali ni kama ulimsikia na kumwelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…