beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Za hapa japo sijaingiaga huku muda sasa ila leo nataka kukuhabarisha kazi ya ubuyu(wenye rangi) katika viazi vya kukaanga. Unakata kati kati na kuvichemsha kidogo viaz vyako mbatata bila kusahau kuweka chumvi.
Halafu wachuja maji baada ya hapo wachukua ubuyu wako unaweka maji kias unachuja tunda unabakiwa na mchuzi wake then unanyunyuzia kwenye viazi unaacha kama dakika 2 then waweza kukaanga viaz vyako vyenye rangi nzuri nakuvutia.
Zingatio: Rangi nzuri ni nyekundu, Orange.
Ni hayo tu