beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Umenikumbusha mbaali beiby
Asante beibe nasty,,,,,,,nakumbuka wakati nasoma kuna mama mmoja alikuwa anatuuzia viazi vya hivyo
Acha kabisa...Zilipendwa Chocs
nakwambia wengine hawapend royco wala binzari basi wavitia ubuyu wapata rangi