Wajuaji naomba kufahamu je board ya engineering inaundwa na majina gani?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!
Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..!

Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye kuingia na camera kama camera man ili ukicheat tu anakupiga picha anaposimamia mithiani yupo kwenye hii board.??
 
Huyo jamaa ni lectuter wa chuo gani au ndo msimamizi mitihani ya ERB wale wapenda mitihani...maana wengine miaka mitatu unajaza makaratasi chap
 
Mbona kama umepost uzi wako kwenye jukwaa ambalo sio lenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…