Wajue M23, historia na uhusiano wao na Rwanda

Mengine yanaweza kuwa na ukweli lakini mengi katka huu waraka wako ni ya uwongo. Anzia tu hapo Kwa Sudan kusini kuwepo Mwaka 1996 wakati Sudan kusini imekuja kuwa Mwaka 2011.

Pili hapo kwenye kuihusisha Ethiopia na Kenya ni uwongo wa kiwango Cha Lami
 
Shukrani sana mkuu,, yaani nilikuwa najiuliza maswali Rwanda inatafuta nini kwenye nchi ya watu??, Kumbe ni Mzee Kabila alifanya makosa makubwa ambayo hakutegemea kuwa yataigharimu nchi hv na yataendelea kuigharimu.
Hapo sasa Kongo kutulia ni ndoto maana ndani ya serikali hata sehemu nyeti kabisa kuna watu ndumila kuwili ambapo chochote kikifanyika lazima wa leak taalifa kwa Kagame na Rwanda pia.

Pana haja sana na sisi kujifunza hapa kuhusu usalama wa taifa letu, haipaswi kuweka urahisi kuhusu wahamiaji. Sheria ngumu zinatakiwa ziwekwe kuhusu mgeni anayeingia Kwenye Taifa letu. Tukilifanya taifa letu kuwa kama shamba la bibi itakuja kutugharimu
 
Ni rwandese wewe. Hujiulizi kwanini vita ianze 96 kwanini before hakukuwa na shida na kwani watusi wapo Rwanda tu Burundi haina watusi
Mpuuzi wewe kama hujui kaa kimya au uliza usaidiwe, Mnarukia mada msizoelewa, Buyoya Raisi wa Burundi alikuwa nani, eti Burundi haina watusi
 
Bro una uhakika?! Au na wew ni mrwanda
Yes, Rwanda imports gold from Tanzania. In 2022, Rwanda imported $169 million in gold from Tanzania, which was the largest share of its gold imports from any country.

Explanation
  • In 2022, Rwanda imported $404 million in gold, making it the 38th largest importer of gold in the world.

  • Tanzania exported $474 million to Rwanda in 2022, with gold being the main export.

  • Rwanda's other top gold import sources in 2022 were Kenya, South Africa, Burkina Faso, and Cameroon.

  • Rwanda's import requirements include obtaining a notice of arrival, submitting a goods arrival notice, and paying import taxes.
 
Pamoja na mapungufu hayo madogo bado 98% ya article ni kweli na very informative
 
Endelea kuchezea raia siku wakipata nguvu muwaite waasi
Zile refugees camps za kigoma na kagera,zinapokea wakimbizi toka congo,rwanda na burundi toka miaka ya 70,wale jamaa wangeachiwa kama uzembe aliofanya mobutu kule east congo,saa hizi wangedai kigoma na kagera ni ya kwao but nyerere akili kubwa akuruhusu hilo
 
Nyerere aliwapa uraia alijua Africa ni moja, Mobutu aliendekeza ukabila na ndio matatizo yote yalipoanzia , wengi humu mna akili za Mobutu
 
Mpuuzi wewe kama hujui kaa kimya au uliza usaidiwe, Mnarukia mada msizoelewa, Buyoya Raisi wa Burundi alikuwa nani, eti Burundi haina watusi
Ndio nakuuliza wewe kwanini alone uchungu watutsi kunyanyaswa wakat Burundi wapo watutsi na wako kimya. Unajua huongea na boya chief hayo maeneo nafanya biashara miaka. Wewe kama umelishwa matango pori ni wewe. Wakongo hawana shida na watutsi ila kagame an alitaka eneo la Norden kivu limiting ili baadae ijiunge na Rwanda
 
Jibu ni simple watusi wa Burundi hawafukuzwi kwao kama Banyamulenge wanavyotengwa DRC
 
Hiki kijarida umekitoa wapi?
 
Jibu ni simple watusi wa Burundi hawafukuzwi kwao kama Banyamulenge wanavyotengwa DRC
Hujajibu swali. Kwanini hao banyamulenge ambao kiasili ni watutsi kila wakipigwa wanakimbilia Rwanda au Uganda wakati Burundi ipo na wanapokelewa. Kwanini Rwanda iumizwe zaid na manyanyaso ya watutsi wa congo kuliko Burundi? We are not fool bro. Nimekuambia nimefanya biashara hayo maeneo muda nina idea na ninachoongea usifikir unaongea na limbukeni.
 
aisee!
 
Watu kama nyie ndio mnaohitsjika JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…