DSE Tanzania
Member
- Sep 20, 2013
- 27
- 10
BINAMU YAKO said:mimi nina swali.
mimi nina swali.je utajibu hapa au hadi huko kwnye blog yenu?
Ninafuatilia vipindi vyenu (itv) kwa ukaribu sana. Tuwaombe mode wauSticky uzi mmoja wa DSE.. nina maswali mengi sana Invisible, Malila, queenkami, Chasha, Zion Daughter, Masikini_Jeuri, Mama Joe, Kubota, Maundumula, Sabayi, Mama timmy na wengineo inawahusu sana hii msiogope! cha muhimu ni kupata taarifa sahihi za wapi na ni kwa namna gani unaweza kufaidika na uwekezaji huu. Tafadhali tushirikiane kuuliza maswali yatakayotufunua upeo kwa faida ya wote (kuuliza si ujinga)
Mkuu uwekezaji katika hisa unalipa sana na ni biashara kubwa sana kwa nchi zilizoendelea hata hapa fursa ipo ila wasiwasi wa watu wengi ni ubabaishaji wetu waswahili hasa linapokuja suala la kulipa dividents mwisho wa mwaka labda DSE watueleze hilisuala lipo vp na huwa wanachukua hatua gani kama kampuni hailipi on time
Tatizo ni uswahili, japo sio kwa kampuni zote. Mimi ni mhanga wa TOL na NICOL.
hao DSE nadhani hawahusiki na ulipaji wa dividends wao kazi yao kusmoothen flow ya mitaji kuoka kwa potential invetors to companies in need of capital. Kwa profits zinazop[atikana na makampuni ya kitanzania kuinvest bila kufanya utafiti wa kina ni hatari tupu. Kwa mfano ni bora uchukue periodic journals ambazo hawa DSE huwa wanaissue halafu ujitahidi kuanalyse possibilty ya profits, return kwenye investment yaweza kuwa kiasi gani na vilevile fanya analysis inaweza kutumia muda gani kurecover capital invested.Hapo ndipo DSE wanapotakiwa kuingilia kati na kusaidia wawekezaji lakini huwa kimya
Huu utoro unanifanya nikose mengi.Nitafuatilia hii kitu.AsanteNinafuatilia vipindi vyenu (itv) kwa ukaribu sana. Tuwaombe mode wauSticky uzi mmoja wa DSE.. nina maswali mengi sana Invisible, Malila, queenkami, Chasha, Zion Daughter, Masikini_Jeuri, Mama Joe, Kubota, Maundumula, Sabayi, Mama timmy na wengineo inawahusu sana hii msiogope! cha muhimu ni kupata taarifa sahihi za wapi na ni kwa namna gani unaweza kufaidika na uwekezaji huu. Tafadhali tushirikiane kuuliza maswali yatakayotufunua upeo kwa faida ya wote (kuuliza si ujinga)
Mkuu uwekezaji katika hisa unalipa sana na ni biashara kubwa sana kwa nchi zilizoendelea hata hapa fursa ipo ila wasiwasi wa watu wengi ni ubabaishaji wetu waswahili hasa linapokuja suala la kulipa dividents mwisho wa mwaka labda DSE watueleze hilisuala lipo vp na huwa wanachukua hatua gani kama kampuni hailipi on time
Tatizo ni uswahili, japo sio kwa kampuni zote. Mimi ni mhanga wa TOL na NICOL.
hao DSE nadhani hawahusiki na ulipaji wa dividends wao kazi yao kusmoothen flow ya mitaji kuoka kwa potential invetors to companies in need of capital. Kwa profits zinazop[atikana na makampuni ya kitanzania kuinvest bila kufanya utafiti wa kina ni hatari tupu. Kwa mfano ni bora uchukue periodic journals ambazo hawa DSE huwa wanaissue halafu ujitahidi kuanalyse possibilty ya profits, return kwenye investment yaweza kuwa kiasi gani na vilevile fanya analysis inaweza kutumia muda gani kurecover capital invested.
Karibu sana, haiwezekani kila mtu awe na kampuni yake binafsiHuu utoro unanifanya nikose mengi.Nitafuatilia hii kitu.Asante
Ninafuatilia vipindi vyenu (itv) kwa ukaribu sana. Tuwaombe mode wauSticky uzi mmoja wa DSE.. nina maswali mengi sana Invisible, Malila, queenkami, Chasha, Zion Daughter, Masikini_Jeuri, Mama Joe, Kubota, Maundumula, Sabayi, Mama timmy na wengineo inawahusu sana hii msiogope! cha muhimu ni kupata taarifa sahihi za wapi na ni kwa namna gani unaweza kufaidika na uwekezaji huu. Tafadhali tushirikiane kuuliza maswali yatakayotufunua upeo kwa faida ya wote (kuuliza si ujinga)
hizi ndizo taarifa ninazozihitaji, huwa napenda sana kuwekeza kwa kununua hisa lakini tatizo huwa nasita kama ulivyoeleza hapo juu
duh.. pole sana mkuu. Hizi ndizo taarifa (majina ya kampuni) ninazozisaka kutoka kwa watu waliowahi kuwekeza, katika pita pita zangu huwa nasikia kelele zinazohusu CRDB, precision. Taarifa nzuri huwa nasikia sikia huko twiga cement