Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
11069359_821253024630160_3302132836663949150_n.jpg

Zikiwa zimebakia siku chache tu Pambano la karne kutokea, baadhi ya mastaa wameendelea kutupa karata zao.

*Upande wa Manny Pacuaiao.

11058620_1426240884346600_7863440759184310326_n.jpg

kuna

  • - Sylivester Stallone "Rambo"
    - Mike Tyson

    - Mohammed Ali

    - Ronda Rousey (mwanadada huyu mwenye dani nne za judo, pia mcheza boxing)
    - Mark Walhberg (kacheza movie za action, na pia ame bet na P didy kiasi cha Tsh 487 kwamba Pacuiano atashinda)

Upande wa Team Mayweather

boxing.jpg

Kuna.

  • - Justin Beiber

    - Maria Carey

    - P didy

    - Rick Ross
    - 50 Cent

Hapo nadhani mwenye akili amegundua kitu flani, na ameeona maajabu yaliyopo, haihitaji degree wala masters.

snipa
 
Last edited by a moderator:
snipa kule upande wa pac wapo wazee wa ndonga akati huku kwa money wapo wahuni tu
 
Last edited by a moderator:
snipa kule upande wa pac wapo wazee wa ndonga akati huku kwa money wapo wahuni tu

Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
 
\

Noted with thanks.
 
Hakyamungu safari gayweather atapigwa mbaya
 
Upande wa Pacquiao wapo wataalam wa masumbwi, kwa hiyo inaonekana mphilipino ni mkali
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.

I bet for money coz ni mjanja na anatumia teknik nyingi awapo ulingoni
 
Inaonyesha man pac konde zake nyingi zitaishia hewani angalizo zikimkuta floyd nadhani shida itakuwa imeingia
 
Mayweather atachapika vibaya... Ndo mwisho wake.
Hakuna marefu yaso ncha.
 
Back
Top Bottom