Wajue mawaziri wanawake wazuri wa sura kuwahi kutokea Tanzania!

Wajue mawaziri wanawake wazuri wa sura kuwahi kutokea Tanzania!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
mwalimu.jpg
Mary_Nagu.jpg
meghji.jpg

Orodha ni ndefu lakini si vibaya mkaongezea, ila mie naanza na hawa hapa!

1a. Ummy Mwalimu
1b. Angela Kairuki
2a. Mary Nagu
2b. Jenister Mhagama
3. Zhakia Meghji
4. Shamsa Mwangunga
5. Salome Mbatia (R.I.P)
 
pumba tupu hizi, uzuri au ubaya wa mtu uko ndani yako wewe,heri ungekuja na wajue wanawake wanaosifika kwa utendaji na ungewataja
 
pumba tupu hizi, uzuri au ubaya wa mtu uko ndani yako wewe,heri ungekuja na wajue wanawake wanaosifika kwa utendaji na ungewataja
Mkuu, ilo ni wazo zuri, unaonaje na wewe ukianzisha uzi wako juu ya wanawake wanaosifika kwa utendaji alafu tuuchangie...
 
Udhalilishaji wa kijinsia/racial bias ama? Ukimaliza uweke na mawaziri ma-handsome tangu tupate uhuru ili kuleta uwiano katika mada yako.
 
Back
Top Bottom