Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Mkuu, ilo ni wazo zuri, unaonaje na wewe ukianzisha uzi wako juu ya wanawake wanaosifika kwa utendaji alafu tuuchangie...pumba tupu hizi, uzuri au ubaya wa mtu uko ndani yako wewe,heri ungekuja na wajue wanawake wanaosifika kwa utendaji na ungewataja
Kama unachukizwa na huu uzi, basi hauko kwenye jukwaa sahihi...mods ondoa huu upuuzi...
sichukizwi nashangaa sana una umri gani? isije kuwa nabishana na mtoto wa darasa la tatu miye?Kama unachukizwa na huu uzi, basi hauko kwenye jukwaa sahihi...
Mkuu, ilo ni wazo zuri, unaonaje na wewe ukianzisha uzi wako juu ya wanawake wanaosifika kwa utendaji alafu tuuchangie...
Mwanamke akiwa na Akili alafu akaingia kwenye siasa ni rahisi sanaa kupaaa. Ila lazma atumike kidoogo kwakua washika mpini ni wanaume.View attachment 442912 View attachment 442913 View attachment 442914
Orodha ni ndefu lakini si vibaya mkaongezea, ila mie naanza na hawa hapa!
1. Ummy Mwalimu
2. Mary Nagu
3. Zhakia Meghji
4. Shamsa Mwangunga
5. Salome Mbatia (R.I.P)
View attachment 442912 View attachment 442913 View attachment 442914
Orodha ni ndefu lakini si vibaya mkaongezea, ila mie naanza na hawa hapa!
1. Ummy Mwalimu
2. Mary Nagu
3. Zhakia Meghji
4. Shamsa Mwangunga
5. Salome Mbatia (R.I.P)
Asante mkuu. Ndio maana nimewaomba muongezee maana mie sio mwana siasa so, siwafahamu vizuri hawa watu... Ngoja niweke record vizuri hapo juu...Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki hiyo ulisahauje asee
Huyu kifaa.lipsi tu inatoa majibuView attachment 442917
4. Shamsa Mwangunga