Wajue Miss Tanzania wetu:1994-2011

Miss Tanzania 2010:Genevieve Emmanuel
 

Attachments

  • GENEVIEVE EMMANUEL-TEMEKE.JPG
    38.1 KB · Views: 967
Miss Tanzania 2011::SALHA ISRAEL
 

Attachments

  • Miss World 2011 Salha Israel - Tanzania 1.jpg
    33.2 KB · Views: 1,115
Kuna makosa mengi katika takwimu za hao jamaa

1. Happy Magese yupo Afrika Kusini sio Marekani kwa muda mreeeefu sana hadi sasa

2. Hoyce Temu anafanya kazi UN Tawi la tanzania baada ya kuondoka Standard Chartered. Pia amemaliza masomo yake Diplomasia Kurasini na sasa anafanya Masters SAUT.

3. Faraja Kota anasoma Chuo Kikuu????? Wapi????? Kaanza lini??????
 
seniorita Hoyce Temu...
Hapajawahi kutokea Miss kama wewe Tanzania hii.
hakika hawa akina Wema na ushuzi wengine wangekuwa na uzuri na akili kama zako sidhani kama watu tungekwenda haja kubwa kwa kujinafasi.

Horray!
Horray!
Forza Hoyce
Valiente Hoyce
Torerro Hoyce
Bravo Hoyce
 
mamiss tz walikuwa zamani, kama hoyce nakumbuka enzi hizo niko primary skul(cyo shule za kata),walikuwa mwake kichwani na sura pia, but nowdays imegeuka biashara au venture ya kutengeneza mal*ya 2 mjini au vyombo vya ngono vya kuwaburudisha wenye ankara zao na wanaume wakware
 
hata uamurufu wa shindano lenyewe umengua mamis wa zamani walikuwa maarufu sana tofouti na sasa iv
 
shindano kwa sasa limekosa mvuto kabisaaa.
 

Hata mashindano yenyewe yameshakosa mvuto tokea Vodacom wampige chini Uncle Hashim kwenye udhamini!
Ma miss wenyewe pia ni disasater tupu mitaani
 
Tofauti inaoneka wazi kati ya wazamani na kuanzia era ya wema. Wazamani wote wanafshule na kazi za maana. Yani wema km kawatia gundu wenzie. Huyu wema agent wa shetani nini? Yani ye ndo km kalitia doa shindano la ma miss
 
hivi mashindano ya miss tanzania bado yapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…