Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani


Mkuu nimesoma vizuri mada zako. pia nimesoma Biblia 6:1-8. Biblia inaonyesha kuwa Mungu aliwaangamiza watu wote isipokuwa Nuhu. sasa hawa unawasema akina Rockafeller wsliponaje? wakati tunaona waliopona ni watu nane tu?
 

Mhh???? Muhammad tena????
 
Asante kwa thread nzuri yenye kupanua ufahamu katika maswala ya kiuchumi angalau kidogo kwetu tusio nguli katika eneo hilo.
Kwa nyongeza, tunapoongelea "Utajiri" yaweza kuwa mada pana sana hasa kwa kuzingatia kwamba unaongelea utajiri wa mtu, taasisi, nchi na kwa vigezo gani unajenga hoja yako.
Kuna watu ni matajiri kama mtu binafsi; km Billy Gate, Warren Buffet na Amanzio Ortega, (google richest people in the world).
Na pia kuna utajiri wa kifamilia; km Walmart Family na Carlios Slim Helu & Family.
Swala la utajiri wa Rockefeller Family hilo ni jambo la jinsi yake kabisa. Hawa jamaa walishavuka viwango vya utajir wa mtu mmoja mmoja na hata wa kifamilia. Kwa sasa hata wameshavuka utajiri wa kitaasisi wako mbali sana; wana ukwasi usioneneka.
Wao swala la kuingizwa kwenye records ni outdated kabisa; kwao kuandikwa kwenye media niseme ni "utoto"
Kwa ujumla wa kihalisia watu matajiri kabisa walio na UKWASI wa kugusa kama sio kutikisa dunia huwa hawapendwi kuanikwa kwenye media; wanafanya mambo 'nyuma ya pazia' you will just see their IMPACTS
 
Hawa matajiri kabisa wala hawaitaji kuandikwa kwa sababu system na media ni zao... sisi wenyewe kwa wenyewe ndo tunapambanishwa na kuwa manipulated kwa faida yao na mkuu wao
 
Bill Clinton ni mtoto wa John Rockefeller Jr. Rockefeller's waliokuwa on course kuitawala duniani. Lakini baada ya 1977 Battle of the Harvest Moon umaarufu unaanza kupungua. Hayo Rockefeller's wengi wao wameuawa ingawa apparently they are still alive. Battle of the Harvest Moon kwa wale wasiofahamu ni kwamba Rockefeller's walitaka kuweka military base on the moon. Warusi wakaiteketeza. Ndio maana Wamarekani waliacha ghafla kwenda mwezini saying that it was a waste of time. Look carefully. The situation is very,very deceptive. Dunianiinaongozwa na Russia lLakini inaonekana inaongozwa na Marekani. Hillary Clinton kwa mfano,ni organic robotoid controlled by Russian scientists from their base in Novosibirsk. Hawa robots wako wengi sana Ulaya and I was just wondering kama wamefika Afrika. Jana lilikuwanauliza maswali kuhusu Dr. She in,because of some things that I had noticed. Lakini mod upesi ameiondoa posting yangu.
 
Na pia Rockafellers ndo wanaown media kama CNN,BBC,NBC,wanacontrol entertainmnt system from movies to music wakiwa na Wyatt family,kuna documentary inaitwa Zeitgiest na kitabu witchcraft and the illuminati,kimeeleza sana kuhusu hao watu
 

za mach live bila chenga
 

NI KWELI IKO WIKIPEDIA.NIMECOPY MAELEZO HAYA:
" Net worth US$336 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures , based on information from Forbes ? September 2007"
 
Net worth US$336 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures , based on information from Forbes ? September 2007[WIKIPEDIA)
 
Net worth US$336 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures , based on information from Forbes ? September 2007[WIKIPEDIA)

Where do you draw the line of a historical figure? Does this include Mansa Musa and King Solomon?
 
 

Mhhhh Mr, inaonyesha you have so many thngs to share with us
 
huu uzi umekua mzuri baada ya juve kufunguka, mleta uzi hakuuweka vizuri mpaka nikawa na wasiwasi, mfano kuna mahali amechapia kuhusu bili gate na utajiri wake eti milioni bilioni dah! pengine amenishika kua amefanya RESEARCH KWA MIAKA KUMI DU! sina uhakika kua wao ndio wanachagua raisi wa marekani, so USA hakuna uchaguzi? au hawa jamaa wanaiba kura? au kwa sababu wana hela labda wananunua wapiga kura? uzi mzuri lakini ni mgumu kweli
 

Ni kama tulivyopangiwa rais na CCM uchaguzi uliopita ,angepita Lowasa ni zao la CCM na amepita Magufuli bado ni zao la CCM kwa hiyo tumepangiwa rais na mfumo in advance level.
 
Mungu Ni Mwema
Family Hizo Yaani Kizazi Hata Kizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…