Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Neno IN GOD WE TRUST katika dollar sio God the creator wanayemzungumzia, this is a point that must be noted! Neno GOD linasimama kuwakilisha GOLD OIL and DIMOND, Na hii ndio sababu ya Marekani kuwa ni nchi yenye Gold reserve nyingi kuliko nchi nyingi na Dimond pia, japokuwa hawana migodi active.

Dollar ndio inacontrol thamani ya Gold, oil na dimond.
 
Aseeee!.... Toka niijue JF sijawahi furahishwa na mdadavuo kama huu.....kumbe hii dunia ni zaidi tuijuavyo. Thanks much juve12.
 
Barbarosa nimekuona kule unazungumzia europian migration crisis na kushangaa jinsi wazungu wanavyopokea migrants kibao huku tukiwaita wabaguzi.
Hebu pitia jina la Richard von Coudenhoven Kalergi na ile plan yake,"The Kalergi plan".
Wazungu wanalalamika illuminati wana mpango wa kufuta race yao na nyinginezo kwa kuchanganya races zote pamoja na kupata one eurasian-negroid race and that is the masterplan behind middle east crisis and european migration.
 
Barbarosa pia kasome report moja ya UN,"Replacement migration;Is it a solution to declining and ageing population?"
Soma hiyo uone projections zao za miaka hiyo zinavyoendana exactly na idadi ya migrants inayotegemewa kuingia Ulaya by 2025 kutokana na hii crisis.
Is it a coicidence?!
 
He was one of the men who built America. Wapo pia akina Carnegie (aliyeanzisha steel industry), J P Morgan (banking), Vanderbilt (reli) na Henry Ford (magari)
Kweli kila taifa Lina mhimili wake aseee sikuweza kuzani kama taifa kubwa kama lile zinaweza kutegemea MTU mmoja tuuu au grupu la watu wachache
 
Kweli kila taifa Lina mhimili wake aseee sikuweza kuzani kama taifa kubwa kama lile zinaweza kutegemea MTU mmoja tuuu au grupu la watu wachache
Sio kwamba liliwategemea group la watu ila ni watu ambao walijaliwa vipaji vya kuona mbali...tafuta documentary zao hao wote zipo YouTube inaitwa the men who built America inaanzia part 1 hadi part 4 utajifunza mengi saana usipende kusimuliwa...kwa swala la utajiri kuna mnyama anaitwa rothchilds family hao ndo wali fund vita vingi duniani inasemekana ndo wanaomilik vitu vingi vya thaman duniani ikiwemo Us federal reserve ila huyo tafuta historia yake nao utaona ila hawa wanausishwa na new world order(NWO) inasemekana media kubwa nyingi duniani zipo chini yao..
 
Nashukuru kwa kuniongeza maarifa kichwani ngoja nichimbue material, hii dunia hatuijui kama ilivyo kabisa, then I'll back with feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…