Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Kweli Rockaffeler ndio miamba wa marekani japokuwa Tajiri kuliko wote duniani kwenye historia ya matajiri ni Mwafrica Mansa Mussa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika nyuzi kama hizi naona jinsi gani jf ilikuwa bora sana miaka ya hapo nyuma kabla ya 2017.

Hoja mara zote zimejibiwa kwa hoja pasipo kuwa na lugha za matusi wa kejeli, wachangiaji wametoa maoni kwa upana, walio kuwa wasomaji nao wameuliza maswali kwa weredi na hayo maswali yanaonyesha kweli watu walidhamiria kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wana mipango mikubwa inayoogopesha sana na hawa kina Rockefeller na Rothschilds ni vibaraka tu
Wale makonk wenyew familia 13 ni zile familia za Papal Bloodline

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G'Depression ilitokea 1929-33, so ikiwa wao walianzisha hiyo FED 1913 kipindi ambacho hapakua na Depression yyte, does that means kulitokea Economic slump yyte b4 or maybe Economic recession yyte US which led them to take tht step?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani kipindi hicho unasoma mpaka unasema mi duniani sijui kitu
 

Unyakuo unakaribia, jiandae. Yote yaliyotabiriwa sasa yanatimia. Ni suala la muda tu. Sidhani kama itapita hata miaka 10-15 kuanzia sasa kabla ya unyakuo
 
Aisee mkuu Eiyer salute kwako 6 yrs later tumeona kwa macho
 
Shekhe anzisha uzi wakoo una mengi tujifunze zaidi , pia ahsante
 
.....
 
Aisee!🤔
 
Mkuu tupe elimu hii Zaidi coz inausu maisha yetu moja kwa moja mwenye sikio na asikie..!!
Hivi Jf unaweza kuedit ukabadili jina la id yako?
Kama haiwezekani then nahitaji kujua huyu member mwenzetu aliwezaje kujiita "covid 19" back in 2014!(post namba 279)
Au mods ndio wamefanya yao ya kuunganisha multiple ids?!🤔
 
Duuuuuuh!kilichotokea 2019 watu mna taarifa nacho tangu 2014?!🤭🤔🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…