johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Cameroon ni "indomitable lions". Kwa Kiswahili , " indomitable" ni "isiyoshindwa" na siyo " isiyofugika".Senegal: Simba wa Teranga.
Cameroon: Simba wasiyofugika.
Morocco: Simba wa Atlas.
Tanzania: Simba wa kuifunga Utopolo.
Au nasema uwongo ndugu zangu?
Simba gani anaishi city center?Simba ni mmoja tu, yupo pale msimbazi.
Mashabiki wa Makolo wote ni mbumbumbu.Senegal: Simba wa Teranga.
Cameroon: Simba wasiyofugika.
Morocco: Simba wa Atlas.
Tanzania: Simba wa kuifunga Utopolo.
Au nasema uwongo ndugu zangu?
We ni wa peponi