Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!

Chenge namkubali ni msomi mzuri pia anajielewa na anamsimamo kwa Sababu hapendi kubuluzwa lakini shida yake ni mwizi na fisadi in shortly Hana MAADILI YA UONGOZI, kwa kashfa alizonazo kwa Nchi zinazotawaliwa kwa kufata sheria huyu mtu Angekua jera.
 
Mkuu P, bila shaka wewe ni katika best of the best journalists hii nchi imewahi kutoa...

Naomba kwa hisani yako, siku moja uje na uzi unaoeleza kwa nini hatuna analyst wa level yako....hata audacity ya kuongea kwa uwazi pia haipo...kila ninaposikiliza radio zetu, aibu huwa naiona mimi jinsi vijana wanavyotoa utopolo, just pathetic!
 
Andrew Chenge is good but is in his sunset years, where do you want him to lead us to? To the grave?
Masele is the guy.
 
kwa ujumla watanzania wanataka Spika sio tu awe Mtaalamu na Mzoefu bali pia awe Mwadilifu tusiwe na mashaka naye ktk suala la uadilifu wake.

Wataalamu, wasomi na wazoefu walio bobea tunao wengi sana hapa Tanzania, tatizo kubwa wengi wao si waadilifu, ukosefu wa maadili tatizo kubwa.
 

Paskali umetoa bonge ya analysis.

Tanzania media imekosa critical thinkers na analysts. Tuna watu wazuri sana na wabobevu wa ku-report, kuwa wa kwanza ku-report ili apate followers twitter, instagram na fb na sio kuja na critical analysis ambayo itatuandaa Watanzania kujua kwanini twahitaji mkuu wa nyumba mwenye kulinda na kutetea maslahi ya Watanzania kwa kuisimamia executive branch na kulinda maslahi ya wananchi.

Kupata spika ambae anajikomba au anataka kuwa loyal kwa executive branch, hiyo itakuwa bonge ya loss.

Mwisho japo sio kwa muhimu, mtendee haki Luhaga Mpina kwa kumtambua kama waziri wa zamani

Mkuu Paskali, I salute you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…