Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!

Wote ukoo wa panya..as. long as rais ataendelea kua mwenyekiti wa chama..daima kutakua na bunge na mahakama dhaifu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijitahidi kuchambua! Ila mie nilitamani sana awe Chenge. Kweli kabisa kabisa!
 
Ujiandae kuitwa mbele ya kamati baada ya bibie kuingia mjengoni.

Haiwezekani umtaje kama ni "worst speaker" tutakaye kuwa nae.
 
Huku nae ndio wale wale rubber stamp ....muda ni mwalim mkuu
 
Nyakati hozo paschal ulikuwa boraa sana sojui ilikua hasira zako kutokana na wajumbe kufanya Yao pale kawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…